NACTE Student Verification Results 2023 Matokeo Ya Uchaguzi Wa Udahili Kwa :- NACTE ni kifupi cha National Council for Technical Education, ni taasisi ya umma inayosimamia elimu ya ufundi nchini Tanzania. NACTE ilianzishwa mwaka 1992 kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya Ufundi Na. 17 ya mwaka 1992. NACTE ina jukumu la kusimamia na kuratibu […]